Join Nostr
2026-01-07 10:17:53 UTC

manlikekweks on Nostr: BITCOIN IS MONEY = BITCOIN NI HELA ...

BITCOIN IS MONEY = BITCOIN NI HELA
akiwa ndani ya Hub hapa WSHA Co-working space Akiwa amevalia T-shirt yetu Spesho ya #BitcoinNiHela🧡

Hi ni zaidi ya style ni ujumbe wa mabadiriko ya kifedha!
Karibu utumbelee hub yetu ujifunze kuhusu #Bitcoin, uhuru wa kifedha na mengi zaidi

📍Mega Complex floor ya Saba (WSHA CO-working space).

#bitcoinniHela #BitcoinArusha⚡️🧡
#POWA255⚡️